MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2020/2021 CSEE








MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2020/2021 NECTA CSEE

Matokeo ya Kidato cha Nne 2020/2021 ni miongoni mwa matokeo yanayotafutwa na wanafunzi, wazazi na walezi wanaotaka kujua ufaulu wa wanafunzi waliomaliza elimu ya sekondari.

Mtihani wa Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) unasimamiwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA). Mtihani huu hufanywa na wanafunzi waliomaliza miaka minne ya elimu ya sekondari.


JINSI YA KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2020/2021

Wanafunzi wanaweza kuangalia matokeo yao kupitia mfumo rasmi wa NECTA kwa kufuata hatua zifuatazo:

Click link hii itakupeleka kuyatazama matokeo https://maktaba.tetea.org/exam-results/CSEE2021/csee.htm

Chagua sehemu ya Results.
Chagua CSEE.
Chagua mwaka husika wa matokeo.
Tafuta mkoa husika
Tafuta wilaya
Fungua jina la shule ili kuona matokeo ya wanafunzi.

👉 Kuangalia Matokeo:
BONYEZA HAPA KUANGALIA MATOKEO KWA URAHISI ZAIDI .  

Matokeo ya CSEE 2021
NECTA imeweka matokeo ya CSEE 2021 kwenye mfumo wake wa matokeo mtandaoni. Mfumo huo unaonyesha matokeo kwa shule pamoja na taarifa za watahiniwa na madaraja yao. 


Kwa mfano, kwenye mfumo wa NECTA unaweza kuona Division I, II, III, IV na 0.

MASOMO YANAYOHUSIKA

CSEE inahusisha masomo ya msingi kama:
Civics
History
Geography
Kiswahili
English Language
Biology
Basic Mathematics
N.k
Wanafunzi wanaweza pia kuwa na masomo mengine kulingana na uchaguzi wao wa masomo.


MUHIMU 

Hakikisha unatumia taarifa kutoka kwenye tovuti rasmi ya NECTA wakati wa kuhakiki matokeo.

HITIMISHO 

Matokeo ya Kidato cha Nne ni muhimu kwa mwanafunzi kujua kiwango chake cha ufaulu na hatua inayofuata ya masomo. Wanafunzi wanaweza kutumia matokeo yao kuendelea na Kidato cha Tano, vyuo au mafunzo mengine kulingana na sifa na nafasi zilizopo.

Kwa matokeo rasmi, tumia mfumo wa NECTA kupitia kiungo au link kilichowekwa hapo juu.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NAFASI ZA SCHOLARSHIP YA KWENDA KUSOMA CHUO USWIZI ,SWITZERLAND 2027/2028 PDF

NAFASI ZA SCHOLARSHIP YA KWENDA KUSOMA CHUO URUSI 2027/2028 PDF

NAFASI ZA SCHOLARSHIP YA KWENDA KUSOMA NCHINI JAPAN 2026 OMBA KABLA YA DEADLINE