MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2021(FORM SIX NATIONAL EXAMINATION RESULTS) NECTA
MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2021 NECTA Matokeo ya Kidato cha Sita 2021 (ACSEE 2021) ni matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita Tayari yametangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA). Matokeo haya yanawasaidia wanafunzi kujua ufaulu wao baada ya kufanya mtihani wa Advanced Certificate of Secondary Education Examination (ACSEE). INSI YA KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2021 Mwanafunzi anaweza kuangalia matokeo yake ya Kidato cha Sita 2021 kupitia tovuti hii hapa gusa maandishi ya bluu kuona matokeo https://maktaba.tetea.org/exam-results/ACSEE2021/index_o.htm AU Tembelea tovuti rasmi ya NECTA . Chagua sehemu ya Results . Chagua ACSEE . Tafuta mwaka 2021 . Chagua shule yako au tafuta jina/namba ya mtahiniwa. Angalia matokeo yako na taarifa za ufaulu. Angalia Matokeo ya Kidato cha Sita 2021 👉 BONYEZA HAPA KUANGALIA MATOKEO https://maktaba.tetea.org/exam-results/ACSEE2021/index_o.htm MATOKEO YA ACSEE 2021 Matokeo ya Kidato cha Sita yanaonyesha taarifa ...